• HABARI MPYA

    Tuesday, August 19, 2014

    ARSENAL WAJIFUA KUPIGANA KABLA YA KWENDA KUIVAA BESKITAS UTURUKI

    Kupigana kumo: Wachezaji wa Arsenal wakitaniana kwa kupigana wakati wa mazoezi ya mwisho ya timu yao jana kala ya kusafiri kwenda Uturuki, kumenyana na wenyeji Besiktas katika mchezo wa kwanza wa kufuzu Ligi ya Mabingwa UlayaAll smiles: The Arsenal players seemed to be in a relaxed mood at their London Colney training base
    Wachezaji waArsenal baada ya mazoezi Uwanja wa Colney, London janaTime to listen: Arsene Wenger (centre) talks to his players during the training session
    Kocha Arsene Wenger (katikati) akizungumza na wachezaji mazoeziniOn their way: Alex Oxlade-Chamberlain (left) posted this 'selfie' with Arsenal new boy Calum Chambers
    Safarini: Alex Oxlade-Chamberlain (kushoto) ameposti picha hii akiwa na mchezaji mwenzake mpya wa Arsenal, Calum Chambers safarini Uturuki
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL WAJIFUA KUPIGANA KABLA YA KWENDA KUIVAA BESKITAS UTURUKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top