• HABARI MPYA

    Thursday, August 21, 2014

    KIBOKO CHA MAN U, SWANSEA CITY WASAJILI BEKI LA ARGENTINA KOMBE LA DUNIA

    KLABU ya Swansea City imekamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 8 wa Federico Fernandez kutoka Napoli.
    Beki huyo wa kati alikwenda kufanyiwa vipimo vya afya wiki hii Wales na kusaini Mkataba wa miaka minne, akiweka rekodi ya kuwa mchezaji ghali zaidi wa nafasi za ulinzi kusajiliwa na klabu za Wales.
    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 25, ambaye aliichezea Argentina katika Kombe la Dunia, ataziba pengo la beki wa kati Chico Flores aliyeondoka, kwa kucheza na Ashley Williams.
    Uhakika: Federico Fernandez akiwa ameshika jezi ya Swansea City baada ya kukamilisha uhamisho wa Pauni Milioni 8 kutoka Napoli
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KIBOKO CHA MAN U, SWANSEA CITY WASAJILI BEKI LA ARGENTINA KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top