• HABARI MPYA

    Friday, August 01, 2014

    MAXIMO ANAVYOIANDAA YANGA SC KWA AJILI YA KOMBE LA KAGAME

    Kocha wa Yanga SC, Mbrazil Marcio Maximo akitoa maelekezo kwa wachezaji wake wakati wa mazoezi ya timu hiyo leo asubuhi Uwanja wa Shule ya Sekondari Loyola, Dar es Salaam. Yanga SC ipo katika maandalizi ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, Kombe la Kagame michuano inayotarajiwa Agosti 9, mjini Kigali, Rwanda.




    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MAXIMO ANAVYOIANDAA YANGA SC KWA AJILI YA KOMBE LA KAGAME Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top