• HABARI MPYA

    Sunday, September 14, 2014

    COUTINHO ALIPODHIHIRISHA MAPENZI YAKE KWA YANGA SC KWA KUBUSU NEMBO YA KLA BU LEO TAIFA

    Kiungo Mbrazil wa Yanga SC, Andrey Coutinho akibusu nembo ya timu hiyo kwenye jezi yake baada ya kukabidhiwa Medali ya ushindi wa mechi ya Ngao ya Jamii jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kulia ni kipa wa timu hiyo Deo Munishi 'Dida'. Yanga SC iliifunga Azam FC 3-0 na kutwaa Ngao.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: COUTINHO ALIPODHIHIRISHA MAPENZI YAKE KWA YANGA SC KWA KUBUSU NEMBO YA KLA BU LEO TAIFA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top