• HABARI MPYA

    Tuesday, September 16, 2014

    VALENCIA AIFUNGIA WEST HAM IKITOA SARE YA 2-2 NA HULL CITY


    Mshambuliaji wa West Ham United, Enner Valencia akifumua shuti la umbali wa mita 20 kuifungia timu yake bao katika sare ya 2-2 na Hull City jana mchezo wa Ligi Kuu ya England. Bao lingine la West Ham lilifungwa na Diafra sakho, wakati mabao ya Hull yalifungwa na Abel Hernandez na Mo Diame.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: VALENCIA AIFUNGIA WEST HAM IKITOA SARE YA 2-2 NA HULL CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top