Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal akitoka na mkewe, Truus ambaye anasherehekea kuzaliwa kwake. Walikwenda kupata chakula cha mchana katika mgahawa wa Piccolino
Louis van Gaal aliutoa zawadi kwa mkewe huyo ushindi wa jana wa 4-0 dhidi ya QPR katika Ligi Kuu England kwa ajili ya sherehe ya kuzaliwa kwake
0 comments:
Post a Comment