• HABARI MPYA

    Wednesday, December 17, 2014

    ROBBEN MWANAMICHEZO BORA UHOLANZI, VAN GAAL, VAN PERSIE NAO WANG'ARA

    WINGA wa Bayern Munich ya Ujerumani, Arjen Robben amekuwa Mwanamichezo Bora wa Mwaka wa Uholanzi, wakati kocha wa Manchester United Louis van Gaal amekuwa kocha bora wa nchi hiyo.
    Katika shetehe za tuzo jana mjini Amsterdam, mshambuliaji wa Manchester United Robin van Persie ameshinda kutokana na bao lake bora la kichwa dhidi ya Hispania katika Kombe la Dunia.
    Van Vaal amapata tuzo hiyo baada ya kuiongoza hadi Nusu Fainali Uholanzi kwenye Kombe la Dunia mwaka huu nchini Brazil. Dereva kinda wa miaka 17, Max Verstappen ameshinda tuzo ya Mwanamichezo Chipukizi, wakati Ireen Wust ndiye Mwanamichezo Bora wa Kike Uholanzi mwaka 2014 baada ya kufanya vizuri kwenye Olimpiki. 
    Robin van Persie (centre) receives the Dutch sports moment of the year award from Danny Blind
    Robin van Persie (katikati) akipokea tuzo yake kutoka Danny Blind na kushoto ni kocha Louis Van Gaal
    Bayern Munich winger appears on a big screen to collect his sportsman of the year award on Tuesday night
    Winga wa Bayern Munich alitokea kwenye TV kubwa kupokea tuzo yake jana usiku
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ROBBEN MWANAMICHEZO BORA UHOLANZI, VAN GAAL, VAN PERSIE NAO WANG'ARA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top