• HABARI MPYA

    Thursday, December 18, 2014

    SPURS YASHINDA 4-0 ROBO CAPITAL ONE CUP

    Tottenham midfielder Christian Eriksen (centre) brings the ball down under pressure from Newcastle's Jack Colback (right)
    Fundi utamjua tu; Kiungo wa Tottenham, Christian Eriksen (katikati) akimiliki mpira kifuani mbele ya Jack Colback wa Newcastle (kulia) katika mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la La Ligi usiku wa jana. Spurs ilishinda 4-0 na kutinga Nusu Fainali, ambako itamenyana na Sheffield United.
    Striker Harry Kane does the dirty work too in this challenge with Newcastle's Emmanuel Riviere (left) and Moussa Sissoko (right)
    Mshambuliaji Harry Kane akipambana na wachezaji wa Newcastle, Emmanuel Riviere (kushoto) na Moussa Sissoko (kulia). Mabao ya Spurs yalifungwa na Nabil Bentaleb dakika ya 18, Nacer Chadli dakika ya 46, Harry Kane dakika ya 65 na Roberto Soldado dakika ya 70.

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-2878210/Tottenham-4-0-Newcastle-Nabil-Bentaleb-Nacer-Chadli-Harry-Kane-Roberto-Soldado-strike-Spurs-soar-League-Cup-semis.html#ixzz3MDkSzLew 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SPURS YASHINDA 4-0 ROBO CAPITAL ONE CUP Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top