• HABARI MPYA

    Thursday, April 02, 2015

    ARGENTINA YAIPIGA 2-1 ECUADOR KIRAFIKI

    Manchester City forward Sergio Aguero had opened the scoring for Argentina at the MetLife Stadium
    Mshambuliaji wa Manchester City, Sergio Aguero ameifungia bao la kwanza  Argentina Uwanja wa  MetLife katika usindi wa 2-1 dhidi ya Ecuador mchezo wa kirafiki wa kimataifa. Bao lingine la Argentina lilifungwa na Javier Pastore wakati la  Ecuador lilifungwa Miller Bolanos.

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3020921/Argentina-2-1-Ecuador-Sergio-Aguero-Javier-Pastore-target.html#ixzz3W5v9yBbB 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARGENTINA YAIPIGA 2-1 ECUADOR KIRAFIKI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top