• HABARI MPYA

    Wednesday, April 01, 2015

    SKRTEL ALIPOMTANDIKA TEKE LA USO DANIEL KOLAR JANA

    Martin Skrtel catches Daniel Kolar in the face with a high boot during Slovakia's 1-0 win over Czech Republic
    Beki wa Slovakia, Martin Skrtel akimpiga teke la usoni Daniel Kolar wa Jamhuri ya Czech katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jana mjini Zilina. Slovakia ilishinda 1-0, bao pekee la Ondrej Duda. Huo ni ushindi wa tatu kwa Slovakia dhidi ya Jamhuri ya Czech tangu igawanyike kutoka Czechoslovakia mwaka 1993 .

    PICHA ZAIDI NENDA: http://www.dailymail.co.uk/sport/football/article-3021135/Slovakia-1-0-Czech-Republic-Liverpool-s-Martin-Skrtel-sticks-boot-in.html#ixzz3W3Ck8OzC 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: SKRTEL ALIPOMTANDIKA TEKE LA USO DANIEL KOLAR JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top